JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: azam fc

AZAM FC YAITANDIKA SINGIDA UNITED BAO 1-0 CHAMAZI

TIMU ya Azam FC imeichapa bao 1-0 Singhida United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara usiku wa leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Shukrani kwake mfungaji wa bao hilo pekee, Joseph Mahundi dakika ya…

AZAM FC: HATUTAKUBALI KUFUNGWA MARA MBILI NA TIMU MOJA

Licha ya kutinga fainali lakini kocha wa Azam Aristica Ciaoba amesema hiyo ni nafasi pekee ya kulipa kisasi cha kufungwa na URA mechi za makundi Kocha Mkuu wa Azam FC, Aristica Cioaba, amesema anauhakika timu yake itatetea ubingwa wake wa…

JE AZAM ATAWEZA KULIPA KISASI KWA URA, KOMBE LA MAPINDUZI?

Pambano la fainali la kombe la Mapinduzi limezidi kuvuta hisia za mashabiki wa soka visiwani Zanzibar baada ya makocha wa timu zote mbili kutambiana TIMU za Azam na URA keshozitashuka Uwanja wa Amaan Zanzibar kusaka taji la 12, la michuano…

Azam Yatinga fainali ya Kombe la Mapinduzi, Kukutana na URA

Bao pekee la kinda Shabani Idd limeipelekea Azam FC ambao ndiyo mabingwa watetetzi wa kombe la Mapinduzi fainali ya michuano hiyo Mabingwa watetezi wa Kombe la Mapinduzi Azam FC, huneda wakafanikiwa kulibakisha kombe hilo nchini baada ya leo kufanikiwa kuingia…

AZAM YAENDELEZA UBABE KWA SIMBA KOMBE LA MAPINDUZI

Mshambuliaji Iddi Kipwagile ameihakikishia timu yake ya Azam kutinga nusu fainali ya kombe la mapinduzi baada ya kuifunga Simba bao 1-0 Kikosi cha Azam FC leo kimeonyesha dhamira yake ya kutaka kutetea ubingwa wa kombe la Mapinduzi baada ya kuibuka…

Azam Yachezea Kichapo Kutoka kwa URA

Azam FC italazimia kuifunga Simba leo ili kuweka hai matumaini ya kutetea ubingwa wake baada ya jana kufungwa na URA bao 1-0 Mabingwa watetezi wa michuano ya Kombe la Mapinduzi leo wameonja joto ya michuano hiyo baada ya kupokea kipigo…