JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: CCM VS CHADEMA

UCHAGUZI KINONDONI MCHUANO MKALI KATI YA CCM YAONGOZA IKIFUATILIWA KWA KARIBU NA CHADEMA

Matokeo ya awali ya uchaguzi wa ubunge Jimbo la Kinondoni yameanza kubandikwa nje ya vituo vya kupigia kura yakionyesha mgombea wa CCM, Maulid Mtulia akiongoza katika baadhi ya vituo. Katika matokeo hayo, Mtulia anafuatiwa kwa karibu na mgombea wa Chadema,…

Lala Salama ya Ubunge kwa Chadema, CCM

Na Waandishi Wetu Vyama vyenye ushindani mkubwa wa kisiasa nchini, Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) vinaingia wiki ya mwisho kwa kampeni za uchaguzi mdogo katika majimbo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam  na Siha…

CCM, CHADEMA Jiandaeni Kisaokolojia

Wiki hii unafanyika uchaguzi mdogo katika majimbo ya Kinondoni, Dar es Salaam na Siha, Kilimanjaro. Uchaguzi huu umeitishwa kutokana na waliokuwa wabunge Godwin Mollel (CHADEMA) na Maulid Mtulia (CUF) kuhama vyama vyao wakajiunga na CCM baada ya kuvutiwa na utendaji…

TUNAHITAJI AMANI KWENYE KAMPENI

NA MICHAEL SARUNGI Katika chaguzi ndogo za udiwani zilizofanyika mwaka jana, kuliripotiwa uwepo wa vurugu kiasi cha kusababisha baadhi ya vyama vya siasa kususia chaguzi zilizofuata katika majimbo ya Songea Mjini na Singida Kaskazini. Taarifa za uwepo wa vurugu katika…

HUJUMA ZIEPUKWE KAMPENI ZA KINONDONI, SIHA

Moja ya kauli za Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, baada ya Mahakama ya Juu nchini humo kutengua ushindi wake wa awali Agosti mwaka jana, aliwahimiza Wakenya kuwa wamoja. Rais Kenyatta akasema raia wa taifa hilo lililokabiliwa na machafuko ya baada ya…