Viatu havibani, havipwayi vinatosha Na Angalieni Mpendu “Kweli nimeomba nipumzike kwa sabab

Na Angalieni Mpendu “Kweli nimeomba nipumzike kwa sababu, nimekitumikia chama changu muda mrefu, nimeona niachie damu mpya. Nimependa nipumzike, lakini hayo mengine yanayoandikwa ni ya kupuuza.” Ni kauli thabiti iliyojaa hiari na uungwana; na iliyoshiba haki usawa na ahadi kutoka moyoni mwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (2012- 2018), Abdulrahman Kinana, alipozungumza na…

Read More

KINANA AKUTANA NA BALOZI WA CHINA

 Katibu Mkuu wa CCM Komredi Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa China hapa nchini Tanzania Wang Ke ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo  Gari la Balozi wa China hapa nchini Tanzania Wang Ke likiwasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam,…

Read More