JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: trump

Iran kumchapa Trump

*Rais, majenerali wawili, Ayatollah wampa onyo kali *Wajipanga kwa vita kuiteketeza Marekani kila kona *Maninja waanza mazoezi jangwani, wadai wao si Korea *Uingereza, Ufaransa, China, Urusi, Ujerumani wamgomea TEHERAN, IRAN Wasiwasi umetanda duniani baada ya Jeshi la Iran kumpa onyo…

Meja Jenerali Qassem Soleimani wa Iran amuonya Trump

Kamanda wa kikosi maalum cha Iran amemuonya rais Donald Trump kwamba taifa lake litaharibu ‘kila kitu kinachomilikiwa na rais huyo’ iwapo Marekani itashambulia Iran. Meja Jenerali Qassem Soleimani aliapa kwamba iwapo bwana Trump ataanzisha vita, ‘jamhuri ya Iran itamaliza vita…

Trump arudi nyuma katika sera yake ya kuzitenganisha familia

Rais Donald Trump wa Marekani amesitisha sera yake uhamiaji iliyokuwa inalazimu kuzitenganisha familia za wahamiaji wanaobainika kuvuka mipaka kinyume cha sheria na watoto wao. Pamoja na kulegeza msimamo huo kutokana na kulalamikiwa kwa sera hiyo ndani na nje ya taifa…

Donald Trump na Kim Jong Un wakutana na Kufanya Makubaliano

Mkutano wa kihistoria kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na Kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un umefanyika nchini Singapore. Wawili hao walikutana kwanza kwa dakika 38 kwa mujibu wa ikulu ya White House, na walikuwa ni wawili hao…

Trump na Kim Jong-un wawasili Singapore

Rais wa Marekani Donald Trump na Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un wamewasili Singapore kwa ajili ya mkutano wao unaoelezwa kuwa wa kihistoria. Trump aliwasili saa chache tu baada ya Kim kuwasili na ujumbe wake. Mkutano wao ambao ni wa…

RAIS DONALD TRUMP AHOFIA MKUTANO NA JONG-UN

Rais Trump ametilia shaka kufanyika mkutano adimu na kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong-un mwezi june huko Singapore . Amesisitiza kuwa hata hivyo Korea kaskazini itapaswa kutimiza vigezo vilivyowekwa ambayo ni nadra kutokea. Korea Kaskazini ilikwisha sema kuwa inaweza kujiondoa…