JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: wabunge wa ccm

SALIM ASAS AMPONGEZA MBUNGE ROSE TWEVE KUINUA UCHUMI WA WANAWAKE WILAYA YA MUFINDI

Mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya chama cha mapinduzi (CCM) MNEC Salimu Asas amempongeza mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Rose Tweve kwa kuinua uchumi wa wananchi kwa kutoa kiasi cha shilingi laki sita (600,000) kwa kata kumi…

MBUNGE CHATANDA ATAKA UKAGUZI TSH. MILIONI 230, UJENZI SHULE YA JOEL BENDERA SEC

Mbunge wa Korogwe Mjini Mary Chatanda (wa tatu kulia) akisikiliza taarifa inayosomwa na Mkuu wa Shule ya Sekondari Joel Bendera Nasson Msemwa (wa pili kushoto). Hapo ndipo Chatanda aliliamsha ‘dude’ kutaka kujua kwa nini sh. milioni 150 zimeshindwa kukamilisha mabweni…

Lusinde Ajivunia Mtoto ‘Kipanga’

Kuna usemi usemao unapopima maendeleo ya mtu usiangalie alipo, angalia mahali alipotokea. Usemi huo ndiyo unayagusa maisha ya Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (CCM), hususani katika muktadha wa elimu. Lusinde amekuwa Mbunge wa Jimbo la Mtera, Mkoani Dodoma katika vipindi…

HUSSEIN BASHE AWAOMBA RADHI WOTE ALIOWAKOSEA

Katika salamu za kuazimisha kuzaliwa kwa Mwokozi wetu Yesu Kristo ( Christmas) Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe ametumia siku hii ya leo ya Christmas kuwaomba radhi wale wote aliowakosea katika utekelezaji wa majukumu yake.