JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: waziri mkuu

WAZIRI MKUU AWATAKA VIONGOZI WA WILAYA YA KYERWA WAJIPIME

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amechukizwa na biashara za magendo zinazoendelea katika wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera, hivyo amewataka viongozi wa wilaya hiyo wajipime wenyewe.   Pia, Waziri Mkuu amemuagiza Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Kagera Bw. Adam Ntogha…

Waziri Mkuu Achukizwa na Biashara za Magendo

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amechukizwa na biashara za magendo zinazoendelea katika wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera, hivyo amewataka viongozi wa wilaya hiyo wajipime wenyewe. Pia, Waziri Mkuu amemuagiza Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Kagera Bw. Adam Ntogha kumsimamisha…

WAZIRI MKUU APIGA MARUFUKU MICHANGO YA SHULE

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hakuna michango yoyote itakayokusanywa kutoka kwa wazazi kwa ajili ya shule kama haina kibali cha Mkurugenzi wa Halmashuri.   “Mheshimiwa Rais wetu, Dkt. John Pombe Magufuli alishapiga marufuku michango ya aina hii na akatangaza mpango…

Waziri Mkuu Matatani

UKWAPUAJI MALI ZA CCM   Waziri Mkuu yumo *Anunua shule ya Chama, abanwa, airejesha chapuchapu *Yeye, Dk. Bashiru Ali wakwepa waandishi wa JAMHURI *Wajumbe NEC wataka achunguzwe mali anazomiliki *Wamlinganisha Rais Magufuli na Nyerere kwa uadilifu     NA WAANDISHI…

WAZIRI MKUU ASHIRIKI UJENZI WA UWANJA MPYA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameshiriki kazi za ujenzi wa uwanja mpya wa michezo wilayani Ruangwa kwa kubeba zege na matofali pamoja na wananchi.   Waziri Mkuu ambaye pia ni mbunge wa Ruangwa, ameshiriki zoezi hilo leo (Ijumaa, Mei 25, 2018)…

​WAZIRI MKUU AKEMEA UHARIBIFU WA MIUNDOMBINU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekemea uharibifu wa makusudi ​wa miundombinu ya barabara na majengo unaofanywa na baadhi ya wananchi na kuwataka waache tabia hiyo mara moja.   Ametoa kauli hiyo leo asubuhi (Alhamisi, Mei 17, 2018) Bungeni mjini Dodoma katika…