Viongozi mbalimbali wa Wizara ya Ulinzi wakiongozwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb) walipokuwa wakiwasili Bungeni jijini Dodoma, ambapo leo Mei 19, 2026, makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 yatawasilishwa.