Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama akisalimiana na Mama Fatma Karume alipomtembelea nyumbani kwake Bumbwini Zanzibar, ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango alioutoa katika taifa.
Mama Fatma Karume (katikati) akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama na watendaji alioambatana nao, wakati waziri huyo alipomtembelea nyumbani kwake Bumbwini Zanzibar ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango alioutoa katika taifa.
Mama Fatma Karume akimsindikiza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama, mara baada ya waziri huyo kumtembelea nyumbani kwake Bumbwini Zanzi
Mama Fatma Karume akimuonesha shamba lake la migomba Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama, mara baada ya waziri huyo kumtembelea nyumbani kwake Bumbwini Zanzibar.