Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mchinga, Salma Kikwete kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 23, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Masasi, Geofrey Mwambe (kushoto) , Mbunge wa Viti Maalum, Taska Mbogo  (wa pili kushoto) na Mbunge wa Mchinga, Salma Kikwete,  kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 23, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Danstan Kitandula kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 23, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

By Jamhuri