Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi 2022 akiongoza kikao cha kamati hiyo kilichofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip, Uwanja wa Ndege Zanzibar, jana Januari 15, 2024. Kikao hicho pia kilihudhuriwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulah ambaye ni Mwenyekiti Mwenza wa Kamati hiyo.

Baadhi ya wajumbe wa kamati Kuu ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi 2022 wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati hiyo kwenye kikao cha kumi kilichofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip, Uwanja wa Ndege Zanzibar, jana Januari 15, 2024.Kikao hicho pia kilihudhuriwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulah ambaye ni Mwenyekiti Mwenza wa Kamati hiyo.