Microchip ya Mo
Watu waliomteka Mohammed Dewji, maarufu kama Mo, walidhani hawatafahamika ila inaonekana walikosea kusuka mpango wao wa utekaji na sasa mambo yameanza kuwatumbukia nyongo, JAMHURI limefahamu. Vyanzo vya habari kutoka Uingereza, Afrika Kusini, Marekani na hapa nchini vimeliambia JAMHURI baada ya kuchapisha habari kuwa Mo ana microchip iliyorekodi tukio la kutekwa kwake, kuwa mataifa makubwa hayataki…