Author: Jamhuri
Tanzania, Algeria kushirikiana katika upatikanaji dawa salama
Tanzania na Algeria zimekubaliana kushirikiana katika kuboresha uhusiano kwenye upatikanaji na uzalishaji wa dawa zenye usalama, ubora na ufanisi katika nchi hizo. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Dawa nchini Algeria alipokutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Wizara ya Afya…
Waandishi waandamizi wajifunza mapinduzi ya teknolojia China
Na Mwandishi Wetu, Beijing, China Waandishi wa habari waandamizi kutoka Tanzania, Zimbambwe, Sudani Kusini, Ivory Coast and Uturuki wameshiriki mafunzo kwa vitendo nchini China hivi karibuni.Mafunzo hayo yalihusu maendeleo ya teknolojia na mapinduzi yake ili kuleta matokeo chanya kwenye sekta…
Mpango asema Samia ameitendea haki Ilani ya CCM
Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Media, Buhigwe Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema ameitendea haki Ilani ya uchaguzi ya chama hicho. Dk Mpango ametoa kauli hiyo leo Septemba 13 wilayani…
Samia apigia chapuo zao la kahawa Buhigwe
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Media, Buhigwe Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema ataboresha sekta ya kilimo kupitia zao tangawizi. Akihutubia mkutano wa kampeni wilayani Buhigwe mkoani Kigoma leo Septemba 13,2025, Samia amesema serikali imepanga kujenga…
Samia: Nitaufungua mkoa wa Kigoma kiuchumi
Na Kulwa Karedia Jamhuri Media,Kasulu Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuufungua uchumi wa Mkoa wa Kigoma. Amesema ataimarisha miundombinu ya barabara, kuongeza upatikanaji wa umeme, kuboresha huduma za maji.Samia amesema hayo leo Septemba 13,…
Mapokezi ya Dk Nchimbi Siha Kilimanjaro yanoga
MGOMBEA Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amewahutubia Wananchi kwenye mkutano mdogo wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa CCM,Kata ya Sanya Juu ndani ya jimbo…





