Burudani

Vanesa Mdee Kuachia Albam Yake ya Kwanza Chini ya Lebo ya Universal Music Group

Vanessa Mdee anatarajia kuachia albamu yake mpya mwakani chini ya Universal Music Group ambayo kwa sasa ndio wasimamizi wa kazi zake za muziki. Vee Money amesema baada ya kusaini mkataba huo sasa yuko tayari kuachia albam katikati mwakani na kwamba kampuni hiyo itakuwa ikisimamia kazi zake katika bara la Ulaya na Afrika. Muimbaji huyo amesema albamu hiyo itatoka mwezi wa ...

Read More »

Mwaka 2018 Utakuwa wa Maajabu Tasnia ya Filamu Nchini.

Msanii wa filamu nchini Jacob Stephan Maarufu JB ametabiri kuwa tasnia ya Bongo Movie itafanya vizuri mwaka 2018 kutokana na maandalizi mazuri yaliyofanywa mwaka 2017. Muigizaji huyo mwenye vituko vingi, amedai wasanii wengi wamefanya maandalizi makubwa katika kufungua kampuni za kusambaza filamu pamoja na kuzipeleka filamu kwenye majumba ya sinema. “Mwaka 2018 itakuwa nzuri zaidi kwa Bongo Movie kwani ukiangalia ...

Read More »

Mzanzibar Ashinda Tuzo ya Turner Prize

Profesa Lubaina Himid ni mzaliwa wa Zanzibar ambaye ni mtanzania ametangazwa kuwa mshindi wa ‘Turner Prize 2017’katika tuzo kubwa za Sanaa nchini Uingereza. Majaji wamempa Tuzo kwa maonesho matatu yaliyofanyika Oxford, Bristol na Nottingham ambapo waliisifu kazi yake ambayo inaangazia Afrika duniani kote pamoja na ubunifu wa mtu mweusi jambo ambalo wameliita namna nzuri ya ubunifu. Profesa Himid ambaye ni ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons