Category: Habari Mpya
Ulega : Chini ya uongozi wa Rais Samia miundombinu inaendelea kujengwa kila kona ya nchi
Na Mwandisshi Wetu Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kuwa chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Serikali inaendelea kutekeleza miradi mingi ya maendeleo ya miundombinu nchini, hatua inayodhihirisha dhamira ya dhati ya kuijenga na kuikuza Tanzania. Ulega…
Waziri Mkuu : Katavi kufunguliwa kwa lami pande zote
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imedhamiria kujenga barabara zote zinazounganisha mkoa wa Katavi kwa lami ili kuufanya mkoa wa kimkakati na kibiashara. Amesema hayo koani Katavi alipoweka jiwe la msingi ujenzi wa…
Chalamila atoa rai shule mkoani Pwani kuanzisha klabu za kupinga rushwa
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mafia Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Crispin Chalamila, ametoa wito kwa shule zote za msingi na sekondari mkoani Pwani ambazo bado hazijaanzisha klabu za kupinga rushwa, kuhakikisha zinaanzisha klabu hizo…
Tanzania yaadhimisha Siku ya Iora kwa kupanda miti Mtumba na kufanya mazoezi mepesi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Tanzania imeungana na Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Bahari ya Hindi (IORA) kuadhimisha miaka 29 ya kuanzishwa kwa jumuiya hiyo katika hafla iliyofanyika katika mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma ambapo miti ya Matunda na Kivuli imepandwa. Akiongoza maadhimisho…
Tanzania, India kuendelea kuimarisha ushirikiano
Tanzania na India zimeendelea kusisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano wa kihistoria na kindugu kuliopo baina ya mataifa hayo mawili. Hayo yamejadiliwa katika mazungumzo kati ya Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Ngwaru Maghembe…
Wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za uchumi na kulinda haki za watoto wenye ulemavu
…………………………………………………………………. Na Jackline Minja, WMJJWM, Mbeya Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema Serikali itaendelea kusimamia haki za wanawake na wasichana pamoja na kuwawezesha kiuchumi ili kuhakikisha wanashiriki kikamilifu katika maendeleo ya…





