Archives for Uchumi - Page 2

CAG awahishe ukaguzi Bukoba

Katika toleo la leo tumechapisha habari za mgogoro unaoendelea kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba. Mgogoro huu ni mkubwa kwa kiwango ambacho wananchi, watendaji, viongozi, wafanyabiashara na hata wanasiasa wamefika mahala hawaaminiani. Kila kona ya Bukoba kuna mazungumzo kwenye makundi.…
Soma zaidi...

Tanzania inapotea njia

Mwishoni mwa wiki zimetokea habari za kusikitisha. Mmiliki wa Kampuni ya Home Shopping Centre, Said Mohamed Saad, amemwagiwa tindikali usoni na sasa amepelekwa kwenye matibabu nchini Afrika Kusini. Saad alikumbwa na mkasa huo saa 2:00 usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita…
Soma zaidi...
Show Buttons
Hide Buttons