Month: February 2022
Polisi kudhibitiwa
*Sheria yawaondolea mamlaka ya kumkamata tena aliyefutiwa kesi *DPP azuiwa kufungua kesi hadi upelelezi ukamilike, masharti yalegezwa *Uhujumu uchumi sasa ni kuanzia bilioni 1, awali hata Sh 1 ilihusika *Mawakili watoa mazito, wapinga kifungu 47A kuwapa polisi meno DAR ES…
Mwekezaji anyimwa hati kwa miaka 25
*Kisa kakataa kutoa rushwa kwa maofisa wa PSRC Dar es Salaam Na Dennis Luambano Kundi la kampuni za Wellworth Hotels and Lodges Limited limenyimwa hatimiliki na ‘share certificates’ za Hoteli ya Kunduchi Beach and Resort pamoja na nyumba za wafanyakazi…
RC Hapi aongezewa makali
Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Huenda panga pangua ya viongozi mkoani Mara ikaanza kuchukua mkondo wake kwa kasi. Ni baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuutembelea mkoa huo na kubaini upungufu mwingi, ikiwamo kutelekeza miradi ya maendeleo kwa kipindi…
Polisi kujichunguza mauaji ni kututania
Na Deodatus Balile Kashfa kubwa imeliandama Jeshi la Polisi nchini kutokana na mauaji ya kijana mfanyabiashara Musa Hamisi (25). Kuna taarifa mbili kuwa Hamisi aliuawa baada ya kuporwa Sh milioni 33.7, ilhali wengine wakisema ameporwa Sh milioni 70. Hamisi alikuwa…
Dk. Mwinyi ataka mabadiliko
Zanzibar Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesisitiza haja kwa watendaji serikalini kubadilika na kutofanya kazi kwa mazoea ili mipango iliyopangwa na serikali itekelezeke. Rais Dk. Mwinyi amesema hayo baada…
Zuio la picha maeneo haya si la haki
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, alipoutangazia umma kufunguliwa kwa Daraja la Tanzanite, nikarejea kwenye kisa kilichotokea siku ya uzinduzi wa ujenzi wake. Siku ya uwekaji wa jiwe la msingi mwaka 2018, Rais John Magufuli, na Spika Job…