Year: 2022
Compaore afungwa kwa mauaji ya Kapteni Sankara
Na Nizar K Visram Jumanne Aprili 6, mwaka huu, Blaise Compaoré, Rais wa zamani wa Burkina Faso, amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa mauaji ya Thomas Sankara, rais wa nchi hiyo aliyeuawa Oktoba 1987. Hukumu ilitolewa na mahakama ya kijeshi…
Yanga yasaka rekodi ya Simba kimyakimya
DAR ES SALAAM Na Andrew Peter Vinara wa Ligi Kuu, Yanga, wanaisaka kimyakimya rekodi iliyowekwa na Simba miaka 12 iliyopita ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu bila kufungwa. Rekodi hiyo ya Simba ipo hatarini kwa sasa wakati ambao Yanga wanaonekana…
MIAKA 100 YA MWALIMU… Tanzania ilikuwa Makka ya wapigania uhuru
Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Ifuatayo ni mada iliyotolewa na Mwandishi wa Habari Mwandamizi, Aboubakary Liongo, katika maadhimisho ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa Baba wa Taifa lililofanyika Aprili 9, 2022 Chuo cha Uongozi Kibaha. Ndugu zangu, wakati tunaadhimisha…
Hofu Vita ya Tatu ya Dunia
Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Ipo hofu ya kuzuka kwa vita ya tatu ya dunia, hali hiyo ikichochewa na matamshi ya Rais Joe Biden wa Marekani na matendo ya nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya dhidi ya Urusi, hasa…
Biashara bila hofu ya Urusi, Ukraine
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Watu wengi husita au hushindwa kuingia katika biashara wakitishwa na hatua zinazofahamika katika kuanzisha biashara husika, mbali na hofu iliyozuka kwa sasa ya vita kati ya Urusi na Ukraine. Hatua hizo ambazo ni sawa…
TIC yajitosa ‘uchumi’ wa gesi
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Wakati mjadala kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta ya petroli na bidhaa mbalimbali ukitamalaki nchini, Kituo cha Uwekezaji (TIC) kinatarajia kushuhudia kujengwa kwa vituo 12 vya kubadilisha mifumo ya matumizi ya nishati katika magari….