Year: 2024
Wananchi watakiwa kupima afya mara kwa mara kuepuka magonjwa ya yasiyoambukiza
Na Suzy Butondo, Jamhuri Media Shinyanga Mganga mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga Dk. Luzila John amesema magonjwa yasiyo ya kuambukiza yamekuwa yakichangia vifo vingi vya watu ambayo mara nyingi yamekuwa yakishambulia moyo, hivyo amewataka wananchi kujenga tabia…
Watuhumiwa 21 mbaroni kuhusika na dawa za kulevya kilogramu 767.2
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za kulevyab(DCEA) imewatia mbaroni watuhumiwa 21 kwa kuhusika na za dawa za kulevya jumla ya Kilogramu 767.2 ikiwemo aina ya heroin, methamphetamine, na skanka . Ukamataji huo…
Balozi Nchimbi azuru kaburi la hayati John Komba Lituhi
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, leo Jumapili, Aprili 21, 2024, amezuru kaburi la Hayati Kepteni (mst) John Damiano Komba na kutoa heshima zake kwenye kaburi hilo kwa kuweka shada la maua. Dkt. Nchimbi…
Mkutano wa kimataifa dhidi ya taka za plastiki kuanza tena
Wapatanishi kutoka nchi 175 wanakutana kuanzia Jumanne hii nchini Canada, ili kuhitimisha maandalizi ya mkataba wa kimataifa wa kukomesha uchafuzi wa mazingira utokanao na plastiki. Hatua hiyo inatarajiwa miezi mitano baada ya duru ya mwisho ya mazungumzo yaliyofanyika nchini Kenya….
Dk Tulia : Serikali kutoa viwanja 21 kwa wahanga wa maporomoko Itezi
Serikali itatoa viwanja 21 kwa wahanga wa maporomoko ya tope katika mlima kawetere, Itezi jijini Mbeya, huku zaidi ya vifaa na vyakula vyenye thamani ya Shilingi Milioni 40 vikitolewa kwa wahanga kuanzia tarehe 14 Aprili, 2024 maafa hayo yalipotokea hadi…
Makamu wa Rais atembelea ujenzi wa ofisi za CCM Micheweni
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi ambaye ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametembelea ujenzi wa ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini…