Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Viongozi wengine wakiingia kwenye Ukumbi wa Mkutano wa 42 wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwenye Mji wa Kinshasa nchini DRC tarehe 17 Agosti, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kabla ya kuanza kwa Mkutano wa 42 wa SADC uliofanyika kwenye Mji wa Kinshasa katika nchi ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) tarehe 17 Agosti, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan pamoja na Viongozi wengine wakiwa kwenye Mkutano wa 42 wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwenye Mji wa Kinshasa nchini DRC tarehe 17 Agosti, 2022 Post Views: 34 Post navigation Rais Samia ateta na Rais Tshisekedi jijini Kinshasa Rais Samia aanza ziara ya siku moja nchini Congo DRC