JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

PURA yapongezwa usimamizi wa miradi ya CSR

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi DIWANI wa Kata ya Songo Songo, Mkoani Lindi, Hassan Swalehe Yusuph ameipongeza Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kwa usimamizi bora wa Miradi ya Uwajibikaji kwa Jamii (CSR) iliyofanywa na kampuni zinazozalisha…

Polisi yajipanga kulinda usalama Sikuku ya Pasaka, viwanja vya michezo

Na Mwandishi wetu, JakhuriMedia, Dar es Salaam Ikiwa imesalia siku kadhaa kuelekea sikukuu ya Pasaka ambayo itaanza maadhimisho yake siku ya Ijumaa Kuu Machi 29, 2024 na baadae kufuatiwa na mkesha sikukuu yenyewe wananchi wameombwa kutoa taarifa za viashiria au…

Mabasi mawili, lori vyateketea kwa moto, wawili wafariki Mlandizi

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Watu wawili wamefariki dunia na wengine watano wamejeruhiwa ,katika ajali iliyohusisha magari matatu likiweno bus kampuni la abiria New Force,Sauli na lori la mafuta kuteketea kwa moto alfajir ya Machi 28 eneo la Ruvu, Mlandizi…

Mke aeleza alivyopewa taarifa na mume alivyojeruhiwa

Mwandishi Wetu Shahidi wa nne katika kesi ya kujeruhiinayomkabili mfanyakazi wa benki ya CRDB, Ibrahim Masahi, Careen Wiliam ameieleza mahakama kuwa mume wake Deogratus Minja wakati wanampeleka Hospitali ya Bochi aliwaeleza kuwa amejeruhiwa na jirani yake Masahi. Careen amedai hayo…

Tanzania yasaini mkataba wa ushirikiano na Hungary kwenye sekta ya maji

Na Magrethy Katengu, JamuhuriMedia, Dar es Salaam Tanzania imesainia Mkataba wa Ushirikiano na Nchi ya Hungary katika sekta ya maji ili kubadilishana uzoefu wa teknolojia katika sekta hiyo. Akizungumza leo Machi 28,2024 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa…