Author: Jamhuri
Rais Samia ateua majaji sita,wamo wanawake
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan, amewateua Majaji sita wa Mahakama ya Rufaa kati yao wawili ni wanawake. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Mei 18, 2023 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus, amesema…
Rais Samia awaita wafanyabiashara EAC
Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Chato Rais Samia Suluhu Hassan amewaarika wafanyabiashara wa nchi wanachama wa Afrika Mashariki (EAC) kutumia bandari ya Nyamirembe Chato mkoani Geita kusafirisha mizigo yao kwa gharama nafuu na kwa haraka zaidi. Mbali na hilo,Mamlaka ya Usimamizi…
Kata ya Mkwawa watoa msaada wa mil.15/- kwa Sekondari ya Matogoro Songea
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMediia, SongeaDiwani wa Kata ya Matogoro iliyopo Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma Issa Mkwawa kwa kushirikiana na uongozi wa kata hiyo wametoa msaada wa viti na meza 302 vyenye thamani ya sh.milioni 15 katika shule ya Sekondari…
Yanga yaandika historia, yaibamiza Marumo Gallants 2-0
Klabu ya Yanga inefanikiwa kutinga Fainali Kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya kufanikiwa kuondoka na ushindi wa mabao 2-1 (agg-4-1) dhidi ya timu ya Marumo Gallants ambapo mchezo wa mkondo wa kwanza Yanga akiwa nyumbani alipata ushindi wa mabao…
Majaliwa aunda kamati ya watu 14 mgogoro wa wafanyabiashara Kariakoo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameunda tume ya watu 14 ambayo itachakata kero na mapendekezo ya wafanya biashara wa soko la kimataifa la Kariakoo. Ameunda tume hiyo leo Jumatano (Mei 17, 2023) wakati alipozungumza na wafanya biashara wa soko hilo katika…