JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Milioni 344 zamaliza kero ya maji vijiji viwili Songe

Na Muhidin Amri, JamhuriMedia, Songwe ZAIDI ya watu 6,000 wa vijiji vya Ilasilo na Kongatete Halmashauri ya wilaya Songwe mkoani Songwe, wanatarajia kuondokana na changamoto ya huduma ya maji safi na salama. Ni baada ya wakala wa maji na usafi…

Wakazi Tabora, Mara watakiwa kujitokeza kwenye majaribio ya uboreshaji taarifa za wapiga kura

Na Allan Vicent, JamhuriMedia, Tabora TUME ya Taifa ya uchaguzi imewataka wakazi wa Mikoa ya Tabora na Mara kujitokeza kwa wingi kwenye majaribio ya uboreshwaji taarifa za wapiga kura kwenye mfumo ili kufanikisha zoezi hilo kwa asilimia 100. Wito huo…

Chalamila apokea msaada wenye thamani ya mil. 137/- Ocean Road

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Novemba 19, 2023 amepokea msaada wa vifaa tiba vya thamani ya Milioni 137 kutoka katika Familia ya GSM vifaa tiba ambavyo vimeelekezwa katika Taasisi ya ocean road jijini Dar es…

Rais Samia atimiza ahadi, wachimbaji wadogo wapatiwa maeneo ya uchimbaji Singida

Wachimbaji wadogo wa eneo la uchimbaji wa madini la Sekenke,Wilaya ya Iramba Mkoani Singida leo wamepatiwa Leseni za uchimbaji na uchenjuaji wa Madini. Zoezi la kukabidhi Leseni hizo limefanya na Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde leo katika eneo la…

Wanawake Afrika wampa tuzo ya heshima Balozi Getrude Mongela

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Wito umetolewa kwa Wanawake kujiamini na kujipambanua kitaifa na kimataifa kwenye kusimamia ajenda za maendeleo yenye usawa wa kijinsia na kupinga ukatili wa kijinsia na kwa watoto. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi…