Author: Jamhuri
Mafuriko Kilosa yasababisha mtu moja kufariki, kaya zaidi ya 150 zakosa makazi
Mtu mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 60 Idd Abdalah amefarikia dunia kwa kuburuzwa na maji huku Kaya zaidi ya 150 katika Kata ya Mvumi na Ludewa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro zikikosa makazi baada ya nyumba zao kujaa…
Waziri Majaliwa : Serikali inatoa huduma bure waathirika wa maporomoko Hanang
Na Paschal Dotto, JamhuriMedia, MAELEZO- Hanang Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaendelea kutoa huduma muhimu katika maeneo yote yaliyoathiriwa na kuporomoka kwa udongo katika eneo la Katesh Wilayani Hanang mkoani Manyara. Akizungumza katika mkutano wa Wananchi, Waziri Mkuu,…
Benki ya NMB yasaidia waathirika wa mafuriko Hanang
Waathirika wa mafuriko Wilayani Hanang, Mkoani Manyara, waliopoteza ndugu zao, makazi, pamoja na mali, wamepatiwa misaada ya kibinadamu na Benki ya NMB. Misaada hiyo inajumuisha magodoro, vyakula na vifaa vingine, ikiwa lengo ni kutoa msaada muhimu baada ya janga hilo….
Taswira mbalimbali za athari za mafuriko ya matope na mawe Katesh na Hanang
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel akiongozana na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu, Mkurugenzi wa Huduma za Kinga Wizara ya Afya Dkt. Ntuli Kapologwe pamoja na Timu ya Wataalam wamefanya tathmini ya anga kuona athari ya mafuriko…
Wajumbe bodi ya JKCI wakutana jijini Dar
Katibu wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Dkt. Peter Kisenge akitoa taarifa ya utendaji wa kazi zilizofanywa na taasisi hiyo kwa kipindi cha miezi mitatu ya Julai…
Makamanda 1267 waendelea kutafuta miili Hanan’g, misaada yote kuelekezwa Ofisi ya Waziri Mkuu
Na Mary Margwe, JamhuriMedia,Hanan’g Jumla ya makamanda wapatao 1267 wanaendelea na shughuli mbalimbali katika eneo la wahanga wa maporomoko ya udongo yaliyotokea Novemba 3,2023 huko wilayani Hanang, ambapo kufuatia zoezi linaloendelea wamefanikiwa kuipata miili mingine miwili na kuweka jumla ya…





