JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Serikali kutumia miezi 18 kumaliza adha ya umeme Masasi

Na Immaculate Makilika – MAELEZO Serikali imeendelea na jitihada zake za kutatua adha ya kukatika  kwa  umeme mara kwa mara  katika Mkoa wa Mtwara ili kuongeza ushiriki wa wananchi katika shughuli mbalimbali za maendeleo. Akizungumza na wananchi leo katika Uwanja…

Wananchi wapongeza jitihada za Serikali kwenye mbaazi

Na Immaculate Makilika – MAELEZO WANANCHI wa Wilaya ya Masasi, Mkoa wa Mtwara wamepongeza jitihada za Serikali katika kilimo cha zao la mbaazi ambalo limeendelea kuwanufaisha. Mkazi wa Wilaya ya Masasi, Kata ya Jida,Fatma Ismail amesema kuwa wamefarijika na ziara…

Afisa feki wa NIDA akamatwa, awatoza wananchi 5000 ili kupata kadi

Na Calvin Minja-NIDA Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imeanzisha operesheni maalum ya kuwasaka na kushughulikia watu wanao walaghai  wananchi kuwa ni watumishi wa NIDA kwa lengo la kuwatapeli na kujipatia fedha isivyo halali. Operesheni hiyo iliyoafanyika nchi nzima  imefanikiwa…

RC Chalamila akutana na Mtendaji Mkuu TCRA

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Septemba 15, 2023 amekutana na Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Dk Jabiri Bakari alipozuru Ofisi za mamlaka hiyo eneo la Mawasiliano Wilaya ya Ubungo Jijini…

Othman:Madaraka ni amana vyama vya siasa vizingatie demokrasia

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Makamu Mwenyekiti wa ATC-Wazalendo Zanzibar, Othman Masoud Othman amesema dhana ya mageuzi ni uwanja mpana, ambapo utekelezaji wake ni kutoka mbali, kuanzia chaguzi za haki na demokrasia ndani ya chama. Othman ambaye pia ni Makamu…

Askari waliotimiza miaka tisa kazini waguswa na Kampeni ya Namthamini

Na Mwandishi Wetu , Jeshi la Polisi- Dar es Salaam Askari wa Jeshi la Polisi waliotimiza miaka tisa (09) kazini depo ya mwaka 2013/2014 (H3) wameguwa na Kampeni ya Namthamini inayoendeshwa na kituo cha Televisheni na Redio cha East Afrika…