Author: Jamhuri
Popo wa Nigeria kivutio kingine Makumbusho ya Majimaji
Makumbusho ya Taifa ya Majimaji ni eneo ambalo limehifadhiwa vizuri na serikali ili kuwawezesha watu kujifunza kumbukumbu nyingi ambazo ni kivutio adimu cha utalii wa kishujaa na kiutamaduni. Watu kutoka mkoa wa Ruvuma na nje ya nchi wanatembelea eneo hili…
Dkt.Jingu:Wakulima tuongeze msukumo wa kufanya kilimo chenye tija
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. John Jingu ametoa rai kwa wakulima kuongeza msukumo katika kilimo chenye tija kwa kutumia mbinu za kisasa za kilimo ambazo zinahusisha teknolojia ili…
Jaji Mkuu aainisha mambo sita muhimu yanayohitaji kuzingatiwa
Na Faustine Kapama-Mahakama Jaji Mkuu wa Tanzania,Prof. Ibrahim Hamis Juma amezindua Baraza la Wafanyakazi wa Tume ya Utumishi wa Mahakama na kusisitiza mambo sita kwa wajumbe, ikiwemo kuzingatia maadili na kutunza ziri za ofisi, ambayo yanahitaji kuzingatiwa wanapotekeleza majukumu yao…
MOI yasogeza huduma za kibingwa Bagamoyo
Na Mwanadishi Wetu,JamhuriMedia Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili MOI kwa kushirikiana na Hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo zimeendesha kliniki maalum (MOI Mobile clinic kwa wa kazi wa Bagamoyo ambapo zaidi ya wagonjwa 150 wamehudumiwa. Kliniki hiyo imehusisha huduma za…
Serikali kufanya maboresho uwanja wa Mkapa
Serikali imeahidi kufanya marekebisho makubwa yanayohitajika katika uwanja wa Benjamin Mkapa ili kukidhi viwango vya kimataifa vinavyohitajika katika michuano ya Africa Super League ambayo Klabu ya Simba ndio mwakalishi wa ukanda wa Afrika Mashariki. Hayo yamesemwa Februari 16, 2023 jijini…
DC Shaka akemea rushwa kwa watendaji
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro Shaka Hamdu Shaka amekemea baadhi ya watumishi ambao wamekua sio waadilifu Kwa kuendekeza rushwa Jambo ambalo linachangia Kuongezeka kwa migogoro ya ardhi wilayani humo. DC Shaka ameyasema hayo katika Baraza la Madiwani wilayani…