Author: Jamhuri
Rais Samia azindua Safina House Dodoma
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan amezindua jengo la kitega uchumi la Kanisa la Angikana Central Dodoma (DCT) lililopewa jina la Safina House huku akiweka msimamo wake Katika kuimarisha amani na…
Mashindano ya Polisi Jamii Cup DPA kuchangia Benki ya Damu salama
Na Mwandishi wetu Jeshi la Polisi- Dar es Salaam Jeshi la Polisi kupitia chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam (DPA) kimeandaa mashindano ya Polisi Jamii yatakayo shirikisha wananchi pamoja na askari wa Jeshi hilo lengo likiwa ni kuwaleta…
Daktari feki ahukumiwa miaka 15 jela Tabora
Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imemhukumu Amos Mathias, mkazi wa Kijiji cha Nhungulu, Wilaya ya Nzega mkoani hapa kifungo cha miaka 15 jela baada ya kupatikana na hatia ya kuua bila kukusudia kwa kujifanya daktari. Hukumu hiyo imetolewa juzi na…
Watumishi Mahakama wapata mafunzo mfumo mpya wa manunuzi ‘NeST’
Na Mary Gwera, JamhuriMedia, Mahakama Mahakama ya Tanzania kupitia Kitengo cha Maboresho (JDU) imeandaa Mafunzo ya kujenga uelewa kwa Watumishi wake kuhusu matumizi ya Mfumo mpya wa Serikali wa Ununuzi wa Umma kwa njia ya Mtandao unaojulikana kama (NeST). Akifungua…
Uchafuzi wa mazingira una mchango mkubwa katika kupungua kwa uzazi duniani
Shirika la Afya Duniani (WHO) hivi karibuni limeripoti – mwanandoa mmoja kati ya sita duniani ana tatizo la ugumba. Kwa miaka mingi watu wamekuwa wakielekeza lawama zao kwa wanawake linapokuja swala kukosa mtoto katika ndoa – hasa katika nchi za…