Author: Jamhuri
Serikali yamwaga mabilioni kujenga shule mpya Ruvuma
Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Songea Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Deogratias Ndejembi amesema serikali ya Awamu ya sita mwaka huu imetoa zaidi ya shilingi bilioni 230 kwa ajili ya ukarabati na ujenzi wa miundombinu ya shule za…
Waziri Jafo aridhishwa uzingatiaji sheria ya mazingira bandari Mtwara
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Wazir wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira),Dkt. Selemani Jafo ameonesha kuridhishwa na uzingatiaji wa Kanuni na Sheria ya Mazingira katika Bandari ya Mtwara. Hayo yalijiri wakati wa ziara ya kikazi ya Dkt. Jafo…
Moto wa Mediterania waua zaidi ya watu 40
Zaidi ya watu 40 wamefariki dunia nchini Algeria, Italia na Ugiriki wakati moto wa nyika ukitishia vijiji na maeneo ya mapumziko huku maelfu ya watu wamehamishwa. Ugiriki inajiandaa kwa safari zaidi za uokoaji kutoka Rhodes, wakati moto pia ukiendelea kuwaka…
Madaktari Nigeria waanza mgomo usio na kikomo
Madatari katika hospitali za umma nchini Nigeria wameanza “mgomo na usio na kikomo” kutokana na kile walichokieleza kuwa ni kushindwa kwa serikali kushughulikia malalamishi yao. Madaktari wanaogoma ni asilimia kubwa zaidi ya madaktari katika hospitali za Nigeria. Mgomo wa namna…
Wagonjwa 70 kuzibuliwa mishipa ya damu miguu iliyoziba
Wataalamu wa magonjwa ya moyo na mishipa ya damu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na mwenzao Suhail Bukhari kutoka Hospitali ya BLK iliyopo nchini India wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kuzibua mishipa ya damu ya miguu (Peripheral Interventions) ambayo…