Author: Jamhuri
Benki ya Dunia, IMF zaipongeza Tanzania kwa ukuaji wa uchumi
Na Immaculate Makilika – MAELEZO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Serikali kwa kushirikiana na Vyama vya Wafanyakazi nchini imefanya jitihada mbalimbali ili kukuza uchumi wa nchi Hayo ameyasema leo Mei 1, 2023…
Ajali zapungua kwa asilimia 61
Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, SACP. Ramadhani Ng’anzi amesema katika kipindi cha miezi mitatu, kutoka Januari hadi Machi 2023 ajali za barabarani zimepungua kwa kiasi kikubwa kwa asilimia 61% huku akibainisha kuwa vifo vinavyotokana na ajali hizo vimepungua…
Chamwino kuinuka kwa utalii kwa kihistoria
……………………… Na Sixmund J. Begashe, JamhuriMedia, Dodoma Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Idara ya Mambo ya Kale imeendelea kuweka mikakati yake ya kuainisha maeneo ya Ķihistoria yaliyopo wilaya ya Chamwino kwa lengo la kuyatangaza kiutalii ili kwenda sambamba na…
Jamii yashauriwa kuchangia damu kwa hiari
Na Mussa Augustine., JamhuriMedia Jamii imeshauriwa kujenga utamaduni wa kuchangia damu kwa hiari ili kusaidia watu wenye uhitaji wakiwemo akina mama wajawazito, wagonjwa wa saratani pamoja na wagonjwa mbalimbali waliolazwa hospitali. Rai hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam April 30,2023…