JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Serikali yatoa ufafanuzi gharama za bando

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari,Nape Nnauye amesema kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa na taasisi za kimataifa, Tanzania inashika nafasi ya sita kwa Bara la Afrika kwa kuwa na gharama za chini za bando “vifurushi” huku ikishika nafasi…

Tanzania kuendelea kishirikiana na Mahakama ya Kimataifa ya Haki

Tanzania imeahidi kuendelea kushirikiana na Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) ili iweze kunufaika zaidi na kazi za Mahakama hiyo yenye hadhi ya juu duniani. Ahadi hiyo imetolewa leo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Africa Mashariki,…

DC Ludigija awataka wadau kuzingatia maslahi upandishaji nauli

Na Aziza Nangwa,JamhuriMedia, Dar Mkuu wa Wilaya ya Ilala Ng’wilabuzu Ludigija amewataka wadau wa utoaji maoni juu ya upandishwaji nauli za treni, lazima wazingatie maslahi ya pande zote mbili. Lubigija amesema wadau katika mchakato wa utoaji maoni ,lazima wabebe jukumu…

Shaka amwagiza Bashe kumuondoa Mrajisi vyama vya ushirika Tabora

Shaka amwagiza Waziri Bashe kumuondoa Mrajisi vyama vya ushirika Tabora Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Tabora KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Shaka Hamdu Shaka amemuagiza Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kumuondoa haraka Mrajisi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa…