Author: Jamhuri
Serikali yasitisha utambuzi wa mifugo kwa hereni za kielektroniki
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imesitisha kwa muda wa miezi mitatu zoezi la utambuzi wa mifugo kwa kutumia hereni za kielektroniki wakati ikiendelea na tathmini ambayo itawezesha kutoa muongozo wa namna bora zaidi ya kutekeleza zoezi hilo. Majaliwa amesema…
Tanzania,Korea Kusini zaingia makubaliano kuimarisha sekta ya ardhi
Na Mwandishi Wetu SERIKALI kupitia Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeingia makubaliano na Wizara ya Ardhi Miundombinu na Usafirishaji ya Korea Kusini kwa ajili ya kuimarisha sekta ya ardhi. Makubaliano hayo yametiwa saini jana na Waziri wa…
“Watu bilioni 3.6 hatarini kuathiriwa na mabadiliko ya tabianchi duniani’
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu (Muungano na Mazingira), Dkt. Selemani Jafo amesema Tanzania imejiandaa kikamilifu kushiriki Mkutano wa 27 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Kimataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi utakaofanyika Sharm El Sheikh nchini Misri kuanzia tarehe 31…





