JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Miaka mitatu jela kwa kusafirisha dawa za kulevya

Na Tatu Saad, JAMHURI MEDIA Mahakama ya hakimu Mkazi kisutu imewahukumu kifungo Cha miaka mitatu jela wakazi wa Ilala Daresalaam Habibu Ibrahim Habibu (24) na Salumu mashtaka duchi baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya…

Mtibwa na vita ya kisasi kwa Simba

Na Tatu Saad, JAMHURI MEDIA Wana Manungu kutoka mkoani Morogoro, ‘Mtibwa Sugar’ wameeleza kuzitaka alama tatu muhimu kwa kulipa kisasi, katika uwanja wa nyumbani dhidi ya Simba Sc, mchezo utakaopigwa Jumamosi ya Machi 11 mwaka huu katika uwanja wa Manungu…

Mfumuko wa bei za bidhaa washuka nchini

Na Wilson Malima, JAMHURI MEDIA Mfumuko wa bei za bidhaa na huduma chini Tanzania umepungua hadi kufikia asilimia 4.8 kwa mwaka ulioishia Februari 2023 tofauti na ilivyokuwa asilimia 4.9 kwa mwaka ulioshia Januari 2023. Mfumuko wa bei wa taifa hupima…

Masauni:Vituo vya Polisi vilivyokwama ujenzi tangu mwaka 2015 sasa kujengwa

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema vituo vya Polisi vya Wilaya ya Ikungi na Mkalama Mkoani Singida ambavyo vilikwama ujenzi wake tangu mwaka 2015 sasa vitaanza kujengwa muda wowote kuanzia sasa. Waziri Masauni amesema hayo…

Dkt.Yonazi:Tuimarishe ufanisi katika utendajikazi

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Dodoma Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu, Dkt. Jim Yonazi, amewataka watumishi wa Ofisi hiyo kuimarisha ufanisi katika utendaji kazi wa kila siku ili kufanikiwa katika kufikia malengo ya Serikali. Ameyasema hayo mapema…