JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Siku Boban alipogomea mazoezi

London Na Ezekiel Kamwaga Hapo zamani za kale, Simba iliwahi kuwa na mchezaji aliyeitwa Haruna Moshi ‘Boban’. Ni miongoni mwa wachezaji wakubwa wa Tanzania niliowahi kuwashuhudia kwenye ubora wao. Akaenda Sweden kucheza Ligi Kuu. Riziki ikaisha, akarudi Tanzania kuchezea Simba….

Tunatenda makosa ya elimu tukidhani tuko sahihi

KILIMANJARO Na Nassoro Kitunda Mara zote kumekuwapo na mjadala wa elimu hapa nchini hasa katika kupima ubora wake huku kukiwa na makundi tofauti yanayotoa maoni. Wapo wanaosema elimu yetu imeshuka na kuna haja ya kubadili mitaala na wengine wanaona kuwa…

Nchi maskini huzisaidia nchi tajiri, si vinginevyo

Na Nizar K. Visram Kupiga vita umaskini ni ajenda inayozungumzwa sana, hasa katika Bara la Afrika.  Aghalabu watu hutofautiana katika mbinu za kufikia lengo hilo. Kuna wanaosema ni halali kwa nchi ‘maskini’ kuomba misaada kutoka nchi ‘tajiri’. Wengine watasema hatuna…

Mkakati wa siri Freemasons kuitawala dunia – (2)

Dar es Salaam Na Mwl. Paulo S. Mapunda Wiki iliyopita tuliona namna ambavyo shetani alifanikiwa kumrubuni binadamu na kuharibu mtazamo (mindset) wake. Tuendelee… Shetani akafanikiwa kumshawishi binadamu amuasi Mungu, alilitenda hilo kwa kuziharibu programu zote ambazo Mungu alizisuka na kuziweka…

Polisi kudhibitiwa

*Sheria yawaondolea mamlaka ya kumkamata tena aliyefutiwa kesi *DPP azuiwa kufungua kesi hadi upelelezi ukamilike, masharti yalegezwa *Uhujumu uchumi sasa ni kuanzia bilioni 1, awali hata Sh 1 ilihusika *Mawakili watoa mazito, wapinga kifungu 47A kuwapa polisi meno DAR ES…

Mwekezaji anyimwa hati kwa miaka 25

*Kisa kakataa kutoa rushwa  kwa maofisa wa PSRC Dar es Salaam Na Dennis Luambano Kundi la kampuni za Wellworth Hotels and Lodges Limited limenyimwa hatimiliki na ‘share certificates’ za Hoteli ya Kunduchi Beach and Resort pamoja na nyumba za wafanyakazi…