JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Wafanyabiashara 774 kati ya 1,520 warejeshwa soko la Kariakoo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wafanyabiashara 774 kati ya 1,520 waliotambuliwa kuwa na sifa za kurejeshwa katika soko la Kariakoo wamejitokeza kuchukua fomu maalum za usajili kwa ajili ya maandalizi ya kuingia kwenye soko hilo kufuatia tangazo la…

Wassira atembelea kaburi la baba wa Taifa

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wassira ametembelea kaburi la Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Butiama, leo Februari 3, 2025 akiwa ziarani mkoani Mara ambapo pia amezungumza na wazee wa Butiama.

Mahakama ya Afrika yasema ni wakati wa Bara la Afrika kudai fidia

Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Rais wa Jamhuri ya Cape Verde, José Maria Neves, amesema nchi za Afrika zinaweza kuongoza mabadiliko ya maisha yao ya baadaye kwa kuondokana na utegemezi wa ukoloni mamboleo kwa kudai fidia iliyotokana na dhuluma za…

Uwanja wa AFCON Arusha wafikia asilimia 25

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha unaotarajiwa kutumika kwa ajili ya mashindano ya Fainali za AFCON 2027 umefikia asilimia 25 za…

Rais Samia ataka Majaji kutokuwa Miungu watu na badala yake watoe haki bila upendeleo

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK.Samia suluhu Hassan, amesema Utekekezaji wa Dira ya Mwaka 2020/2025 ina mabadiliko makubwa ikiwemo katika Sekta ya utoaji haki ambapo jumla ya Mashauri 271 yalisajiliwa kupitia mtandao huku mashahidi waliopo…