Kukatika kwa umeme, kero ya maji vyawaibua madiwani Pwani
Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha Upungufu wa maji na kukatikakatika kwa Nishati ya Umeme ,imekuwa gumzo na kilio kwa Madiwani wa Kibaha Mjini katika baraza la madiwani ,na kudai ni kero ya muda mrefu iliyo na ukakasi kwenye ufumbuzi wake. Agustino Mdachi diwani wa Kata ya Pangani na Mohamedi Chamba diwani wa kata ya Viziwaziwa walisema kero…