JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Esther Bulaya : Lissu ana uzoefu mkubwa wa uongozi

Mbunge wa Viti Maalumu, Esther Bulaya amekipongeza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa kuendesha uchaguzi wa ndani kwa uwazi na kufuata misingi ya demokrasia. Pongezi hizo amezitoa leo Februari 13, 2025 bungeni jijini Dodoma, wakati wa mjadala wa taarifa…

Wanafunzi wanaofadhiliwa na USAID Malawi watakiwa kuondoka

VYUO vikuu vya umma nchini Malawi vimeamuru wanafunzi wote wanaofadhiliwa na Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) waondoke au watafute njia mbadala za kulipia ada kama wangependa kuendelea na masomo. Hatua hiyo baada ya kusitishwa kwa misaada ya…

Shaka: SGR imechochea biashara na ukuaji wa maendeleo Morogoro

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka amesema uimara wa Rais Samia Suluhu Hassan katika uongozi wake ni wenye matokeo chanya unaojali kesho ya nchi yetu (vizazi vya leo na kesho) kwa kukamilisha mradi…

Dira 2050 yataja changamoto saba mazingira ya biashara

Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 imetaja changamoto saba za mazingira wezeshi ya biashara na uwekezaji nchini. Imetaja changamoto hizo ni pamoja na gharama kubwa katika mchakato wa uwekezaji zikiwamo kodi na tozo na muda wa kuanza biashara….

Kikwete ashauri mbinu za kupambana na athari za mabadiliko ya tabianchi kwenye kilimo

Addis Ababa, Februari 13, 2025 – Rais Mstaafu Dkt. Jakaya mrisho Kikwete ameungana na viongozi mbalimbali wa Afrika katika kongamano la kimataifa kuhusu umwagiliaji na uzalishaji wa kilimo himilivu dhidi ya mabadiliko ya tabianchi, lililofanyika siku ya Jumatano mjini Addis…