Author: Jamhuri
Wauza ‘unga’ waanza kutajwa
Wakati Watanzania wengi wakiwa wameamua kuwaanika hadharani nguli wa biashara ya dawa za kulevya, Balozi wa Tanzania nchini China, Philip Marmo, naye amepasua ukweli wa mambo akisema hali inatisha.
Watu 10,262 wakacha ARVs
Watu 10,262 wanaoishi na Virusi Vya Ukimwi (VVU) na Ukimwi mkoani Mwanza, hawajulikani waliko kwa zaidi ya miezi mitatu sasa baada ya kutohudhuria kliniki ya kutoa dawa hizo.
Jeshi la ‘bodaboda’ latembeza mkong’oto wilayani Geita
Jeshi lisilo rasmi la vijana zaidi ya 60 wanaofanya kazi ya kubeba abiria kwa kutumia pikipiki (bodaboda), huku wakiimba kibwagizo cha ‘wapigwe tu’, wameteka mtaa na kutembeza kipigo kikali kwa abiria wao mmoja.
MAUAJI YA BARLOW
Malele aendelea kuteseka Muhimbili
Maendeleo ya matibabu ya Mohamed Malele aliyetangaza siri za mtandao unaodaiwa kuhusika kumuua Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow, ni kitendawili.
Tutelekeze wabunge, tuwawezeshe polisi
Wiki hii nimewaza na kuwazua. Kwa furaha nimepokea mrejesho kutoka kwenu wasomaji wangu. Hakika nimefurahi jinsi mlivyolikubali gazeti JAMHURI, na jinsi mawazo tunayoyatoa mnavyoyaunga mkono. Nasema asanteni sana na mkihisi tumekosea, msisite kutusahihisha.
Funga ya Ramadhani, hukumu, fadhila, adabu zake (Hitimisho)
Sheikh Dk. Ibrahim Ghulaam, katika sehemu ya tatu ya makala
haya alielezea kwa kina kuhusu yasiyofunguza na adabu za funga. Sasa fuatana naye katika sehemu hii ya mwisho…
Fadhila za funga
Zimepokewa hadithi nyingi zinazoelezea fadhila za funga ya Ramadhani, miongoni mwa hizo ni zifuatazo:
- Soma Gazeti la Jamhuri Juni 30 – Jula 6
- CRDB Insurance yazindua ‘ Smart mifugo’ kulinda wafugaji dhidi ya hasara
- Polisi Pwani yachunguza mauaji ya mwanamke na mtoto Chalinze
- Pwani kunufaika na mradi wa bilioni 6.3 kuokoa watoto waishio mitaani
- Balozi Omar, Mkurugenzi mpya wa Afriexim bank wateta Dar es Salaam
Habari mpya
- Soma Gazeti la Jamhuri Juni 30 – Jula 6
- CRDB Insurance yazindua ‘ Smart mifugo’ kulinda wafugaji dhidi ya hasara
- Polisi Pwani yachunguza mauaji ya mwanamke na mtoto Chalinze
- Pwani kunufaika na mradi wa bilioni 6.3 kuokoa watoto waishio mitaani
- Balozi Omar, Mkurugenzi mpya wa Afriexim bank wateta Dar es Salaam
- Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini yaridhishwa na maendeleo ya uzalishaji umeme Kituo cha Julius Nyerere
- REA Zambia yahitimisha ziara yake nchini
- Ndoto za masomo nje zakaribia kutimia kwa wanafunzi wa kitanzania
- CP Kaganda aongoza ujumbe wa Tanzania mkutano wa wenye dhamana ya uchukuzi
- Wananchi wenye mahitaji maalum Idodi wapatiwa viti mwendo
- Waziri Ndejembi awasili Tanga kwa ziara ya kikazi
- IGP amteua Twaha Lulengelule kuziba nafasi ya Abwao
- Chifu Mashimba: Jamii irejee kwenye mila na desturi kwa manufaa ya kizazi kijacho
- Dk Akwilapo : Serikali kuendelea kushirikiana kwa karibu na taasisi za kidini
- Prof. Shemdoe awaasa wanafunzi kuendeleza vipaji vyao vya michezo na Sanaa