Author: Jamhuri
Barack Hussein Obama ni nani?
Barack Hussein Obama alizaliwa Agosti 4, 1961. Ni Rais wa 44 na Rais wa sasa wa Marekani. Ni Raia wa Marekani na Rais wa kwanza mwenye asili ya Afrika kushika wadhifa huo. Pia ni mtu wa kwanza aliyezaliwa Hawaii kushika nafasi hiyo.
FASIHI FASAHA
Haki, ukweli ni nguzo za amani – 4
Katika makala tatu zilizotangulia nimezungumzia baadhi ya viongozi wa dini, siasa na wa serikali kutupilia mbali maadili na miiko ya uongozi na kuwa chanzo cha kutaka kuvunja amani ya nchi. Pili, haki na ukweli ni nguzo za amani.
Walioficha mabilioni Uswisi wahojiwa
*Kwenye orodha wamo majenerali wa JWTZ
*Mboma, Sayore, Yona, Chenge, Mgonja ndani
*AG akiri kazi ni ngumu, aomba waongezwe muda
*Asema mwanga muhimu umeanza kuonekana
Kamati iliyoundwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda kuchunguza Watanzania walioficha fedha kwenye mabenki ughaibuni, imeshawahoji vigogo, wakiwamo mawaziri wa zamani, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, wanasiasa na wafanyabiashara maarufu.
Yah: Bajeti ikusanyiwe maoni kama katiba
Nilikuwa nasikia kutoka kwa watu kwamba bajeti ni vilio kila kona, sikuelewa, kwa sababu bajeti si msiba ama majanga lakini nilipoipata baada ya hiyo digitali kunifikia, nimeona huo msiba ni wa aina gani.
KAULI ZA WASOMAJI
Gharama KCMC zinatisha
Serikali inajitahidi kuboresha huduma kwa wananchi wenye kipato cha chini, lakini baadhi ya hospitali haziko kwa ajili ya huduma za tiba ila ni biashara tu! Ni Watanzania wangapi wanaweza kumudu gharama za sasa za KCMC kama sio kufa kwa wagonjwa?
Mtanzania mzalendo, Moshi
UWASATA wasaka nguvu kusaidia yatima
Umoja wa Watuma Salamu Tanzania (UWASATA) unahitaji nguvu ya wahisani uweze kuongeza misaada kwa watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi nchini.
- Mkutano wa kikanda wajadili usalama na biashara haramu ya silaha
- EACOP kuendelea kuunga mkono maendeleo sekta ya elimu nchini
- Wafungwa 1,369 wapunguziwa adhabu, 436 waachiwa huru
- Miaka 62 ya Muungano, Rais Samia asamehe wafungwa katika kuadhimisha
- Mwenyekiti CCM ashiriki Kongamano la Muungano Tunguu, Zanzibar
Habari mpya
- Mkutano wa kikanda wajadili usalama na biashara haramu ya silaha
- EACOP kuendelea kuunga mkono maendeleo sekta ya elimu nchini
- Wafungwa 1,369 wapunguziwa adhabu, 436 waachiwa huru
- Miaka 62 ya Muungano, Rais Samia asamehe wafungwa katika kuadhimisha
- Mwenyekiti CCM ashiriki Kongamano la Muungano Tunguu, Zanzibar
- Wazuri Mkuu azungumza na wakazi wa Jiji la Dar es Salaam
- Katibu Mkuu ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira ashuhudia mchezo wa Yanga na Azam
- Ushirikiano VETA na Emirates Aluminium waibua matumaini kwa mafundi wa fani ya vioo
- Wananchi Dar wakumbushwa kulipia pango la ardhi ndani ya siku 14
- THTU yataka utafiti ubadilishwe kuwa mapato na ajira
- Waziri Mkuu ashiriki ibada ya Jumapili Kanisa la KKKT usharika wa Azania Fron
- Rais Dk Samia azindua Meli ya Kwanza ya Uvuvi wa Bahari Kuu Kigamboni Jijini Dar
- Asilimia 10 yaendelea kuzaa matunda, mwenge wazindua basi la vijana Mkuranga
- MSD yajiimarisha mfumo wa ununuzi bidhaa za afya nchini
- Serikali yaimarisha uwazi sekta ya madini, bei elekezi kutolewa kila siku