Author: Jamhuri
ADC: Tutajipima Uchaguzi Mkuu 2015
*Limbu atamba kudhibiti makundi
Wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) vikitamba kung’ara katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka 2015, Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kimesema muda wa miaka mitatu uliobaki unatosha kujipanga kutwaa uongozi wa nchi.
Tanesco inawakera wateja Dar es Salaam
Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (Tanesco), limeanza kuwakera wateja wake jijini Dar es Salaama, hata baada ya uongozi wa wizara husika kutangaza kikomo cha tatizo la mgawo wa nishati hiyo.
Mihadarati sasa yapigiwa upatu
Nilipokuwa nchini Ghana kwa mafunzo ya vitendo mwishoni mwa miaka ya ’80, nilishangazwa na daktari mmoja. Nakumbuka ilikuwa katika Korle-Bu Teaching Hospital ya Chuo Kikuu cha Accra, na bado sijausahau mtaa wake – Guggisberg Avenue katika mji mkuu, Accra.
JK asifu utendaji wa Mchechu NHC
Rais Jakaya Kikwete ameusifu utendaji wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba (NHC), Nehemia Mchechu, kwamba umerudisha heshima ya shirika hilo.
Ameisifu pia Bodi ya NHC, wafanyakazi wa shirika hilo kwa kutoa ushirikiano mzuri kwa mkurugenzi huyo.
Yah: Kama ningekuwa Waziri wa Usalama Barabarani
Wanangu, nawapa kongole ya kutimiza miaka 51 ya Uhuru mlionao hivi leo, nawapongeza kwa kuwa sisi wana-TANU ni kama ndoto ya kuamini kuwa tumeweza kuhimili vishindo vya wakoloni kwa kipindi chote hiki.
Sarafu moja Afrika Mashariki ni mtego
Wiki iliyopita hapa nchini umekuwapo mjadala wa kiuchumi, unaohoji mpango wa kuharakisha matumizi ya sarafu moja katika Jumuiya ya Afrika Mashariki. Mjadala huu umehusisha wadau mbalimbali, akiwamo Balozi wa Tanzania nchini Ubeligji, Dk. Diodorus Kamala.
Habari mpya
- CCM yafanya uteuzi wa wagombea nafasi za Spika na Naibu Spika
- Ajali ya ndege ya UPS, saba wafariki, 11 wajeruhiwa
- Rais Dk Samia amuapisha mwanasheria mkuu Hamza Johari
- Hali ya amani na utulivu yarejea , Serikali yawakaribisha wageni
- Wabunge wateule waitwa bungeni Dodoma
- Nchimbi aombewa na Dkt Mpango, aahidi kuendeleza mchango wake
- Rais Dk Samia akabidhiwa nyaraka
- Khamis Mgeja ameacha historia ya ujasiri, uzalendo
- Wananchi Stand ya zamani Kondoa mjini wakishiriki upigaji kura
- RC Kagera apiga kura, awahakikishia usalama wananchi
- Balozi Dkt. Nchimbi ashiriki zoezi la kupiga kura ya kumchagua Rais, mbunge na diwani
- Waziri Ndumbaro apiga kura, apongeza utulivu na amani
- Hali ni shwari Pwani, wananchi waendelea kupigama kura kwa amani
- Dkt. Mpango ashiriki zoezi la kupiga kura
- TMA yatoa tahadhari ya mvua kubwa kwa baadhi ya mikoa