Baada ya Manchester United Juzi kutupwa nje na Sevilla kutoka Hispain kwa kufungwa mabao 2-1, jana usiku ilikuwa ni zamu ya Chelsea Kutupwa Nje ya Mshindano ya Kombe la UEFA Championi Ligi kwa kufungwa na Barcelona Mabao 3-0, mabao ya Barcelona yaliwekwa kimyani na Messi ambaye alifunga mabao 2, goli la kwanza alifunga dakika ya 2 na goli lake la pili alifunga kwenye dakika ya 63, na goli la tatu lilifungwa na Ousmane Dembele dakika ya 20.

Kwa matokeo hayo Chelsea imeondoshwa kenye mashindano hayo kwa jumla ya mabaol 4-1, kutokana mchezo wa awali ulichezwa England timu hizo zilitoka sare ya 1-1.

Juzi Manchester United ilifungwa na Sevilla ya Hispain, na jana Chelsea ilifungwa na Barcelona kutoka Hispain,

JE KWA MATOKEO YA JUZI MANCHESTER DHIDI YA SEVILLA, NA JANA MATOKEO YA CHELSEA DHIDI YA BARCELONA

KUNAUBISHI TENA LIGI YA UINGEREZA NI BORA KULIKO YA HISPAIN ?

 

https://youtu.be/GSPVaUUeA0U

By Jamhuri