Category: Habari Mpya
BRELA, TMDA kuimarisha ushirikiano
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) leo Februari 29, 2024 wamekutana kwa ajili ya kujadiliana kuhusu mashirikiano baina ya Taasisi hizo mbili ili…
Biteko : Utamaduni na utu wa Mtanzania usidhalilishwe
📌 Awapongeza Wasanii kwa kutopuuza utamaduni wa Mtanzania 📌 Ampongeza Dkt. Samia kwa kuufufua Mfuko wa Utamaduni 📌 Ataka Wasanii kuhamasisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Na Mwandishinl Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,…
Wakili Malando ajitoa kesi ya mirathi Nzega, adai kuwepo mgongano wa maslahi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Nzega Wakili Edward Malando aliyekuwa akimwakilisha Salma Mohammed kwenye shauri la ndugu wanaovutana kwenye mirathi ya Zena Jalakhan amejitoa kwenye shauri hilo. Wakili Malando ametaja sababu za kujitoa kwenye kesi hiyo kuwa ni mgongano wa maslahi.Hata…
Serikali kuyaendeleza makazi ya Mwalimu Nyerere
Serikali imedhamiria kuyafanya makazi ya hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere yaliyoko kijiji cha Mwitongo, wilayani Butiama mkoani Mara kuwa kituo cha utalii. Hayo yalisemwa jana (Jumanne, Februari 27, 2024) na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati akizungumza na…





