JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Wananchi kupewa elimu MMMAM

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Doroth Gwajima amewashauri wahariri wa vyombo vya habari nchini kushirikiana na serikali kutoa elimu kwa wananchi kuhusu dhana ya Mpango wa Malezi, Makuzi, Maendeleo ya…

JKCI kuweka kambi matibabu ya moyo Dar

TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) inatarajia kuweka kambi maalum ya upimaji na matibabu ya magonjwa ya moyo mkoani Dar es salaam na mikoa ya jirani katika kuadhimisha siku ya wanawake Duniani Machi 8, 2024. Taarifa iliyotolewa na Mkuu…

Majiko ya gesi 200 yakabidhiwa kwa taasisi na vikundi Kavuu Mlele

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mlele Mbunge wa Jimbo la Kavuu katika halmashauri ya Mpimbwe mkoa wa Katavi na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe, Geophrey Pinda amekabidhi majiko mia mbili ya Gesi ya kupikia kwa taasisi…

Nchimbi : Kifo cha Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora pigo kubwa

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa kifo cha Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora Hassan Wakasuvi ni pigo kubwa, si kwa Mkoa huo pekee, bali Chama, serikali na taifa zima kwa ujumla….

Bandari ya Mbambabay kuunganishwa na reli ya Kusini

Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Mbambabay Naibu Waziri wa Uchukuzi Mheshimiwa David Kihenzile amesema serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni 70 kuanza uboresha bandari ya Mbambabay ziwa Nyasa mkoani Ruvuma. Amesema mkataba wa ujenzi wa bandari hiyo ni miezi 24 na…

Mataifa saba yafutiwa ada kuingia Kenya

Kenya imewasamehe walio na pasipoti kutoka nchi saba kulipa ada ya kuingia nchini humo iliyoanzishwa mwezi uliopita. Serikali ilitupilia mbali mahitaji ya viza kwa wamiliki wote wa pasipoti za kigeni. Hatua hiyo ilionekana kama jaribio la kuitangaza Kenya kama kivutio…