Category: Habari Mpya
Tanzania yaondolewa kwenye orodha ya madeni makubwa
Tanzania imeanza vizuri mwaka 2024 baada ya kuondolewa kwenye orodha ya nchi zenye madeni makubwa Afrika. Taarifa ya Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF) jana iliyotoa orodha ya nchi 10 zenye madeni makubwa Afrika, ilisema kitendo hicho cha Tanzania kuondolewa…
RC Kigoma akabidhi msaada wa sh.mil. 27 Katesh
Na Bryceson Mathias, JamhuriMedia, Kigoma Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye amekabidhi misaada mbalimbali yenye Thamani ya zaidi ya Shilingi Mil. 27 kwa wakazi walioathiriwa na maafa yaliyotokana na mafuriko yaliyosababisha maporomoko ya tope katika mlima Hanang kata ya…
Serikaki yatambua umuhimu wa wananchi kutoa maoni masuala ya kitaifa
Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Januari Makamba imesema inatambua umuhimu wa wananchi kushiriki katika maamuzi yanayohusu masuala ya kitaifa na kimataifa ikiwemo utoaji wa maoni kuhusu marekebisho…
Rais Samia aridhia utekelezaji mradi wa maji ziwa Victoria kufikishwa wilayani Ushetu
Na Mathias Canal, JamhuriMedia, Kahama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ameridhia kuanza kwa utekelezaji wa kufikisha mradi wa maji wa ziwa Victoria katika Halmashauri ya Ushetu. Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameyasema hayo leo…
Rais Dk Mwinyi adhamiria kumaliza changamoto katika elimu
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inakaribia kumaliza ujenzi wa madarasa 5,000 kuondoa zamu mbili kwa wanafunzi nchi nzima na kubakisha zamu moja. Rais Mwinyi amesema leo Januari 9,2024 akifungua rasmi Skuli mpya ya Sekondari Tumekuja iliopo…
PICU inavyookoa maisha ya watoto Muhimbili na kutoa mafunzo kwa wataalam nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Uwepo wodi ya watoto wanaohitaji uangalizi maalum (PICU) katika Hospitali ya Taifa Muhimbili umesaidia kuokoa maisha ya watoto ambao walikuwa wanapoteza maisha hapo awali kutokana na ukosefu wa huduma hiyo. Daktari Bingwa wa Watoto, Dkt….