JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

TAWA: Aliyeuwa mamba alifuata sheria

MTANDAO: UCHUNGUZI unaonesha mwindaji raia wa Marekani, Josh Bowmer katika tukio la kuuwa mamba eneo la kitalu cha Lake Rukwa GR alifuata sheria kwa kuwa na kibali halali, ada na tozo zote za uwindaji alilipa na hakuna utaratibu uliokiukwa. Mamlaka…

Mwakinyo, Mzimbabwe kupasuana Zanzibar

Na Mwandishi Wetu Bondia, Hassan Mwakinyo ‘Champez’ anatarajiwa kupigana na bondia kutoka Zimbabwe, Enock Msambudzi Januari 27 mwaka huu visiwani Zanzibar. Pambano hilo la kwanza tangu kuachiwa huru na Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini (TPBRC) baada ya kuwa kifungoni…

Serikali inathamini juhudi za kidini kupeleka huduma kwa wananchi – Dk Biteko

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, Serikali inathamini na kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Sekta za kidini katika kusogeza huduma mbalimbali kwa wananchi mjini na vijijini. Dkt. Biteko amesema hayo tarehe 2 Januari 2024…

Watu 30 wafa kwa tetemeko Japan

Watu 30 wameripotiwa kufa baada ya tetemeko kubwa la ardhi kupiga pwani ya katikati mwa Japan siku ya mwaka mpya huku Waziri Mkuu Fumio Kishida akionya uwezekano wa majeruhi kuongezeka. Tetemeko hilo la Richter 7.6 lilipiga eneo la Peninsula ya…

Macha : CCM itawaweka pembeni wote wanaosaka ubunge, udiwani kwa kuvunja kanuni

Atoa agizo Ofisi za CCM mikoani kuwafuatilia wote *Akemea vikali tabia za kuanzisha ligi za Mbuzi Cup, Ng’ombe Cup kwa lengo la kusaka uongozi huo kabla ya muda_ . *Asema Wanojaribu kutaka Ubunge kwa sasa Chama kitawaweka pembeni wote ifikapo…