JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Idadi ya vifo vya tetemeko Japan yafikia 73

Idadi ya watu waliokufa katika tetemeko kubwa la ardhi nchini Japan imeongezeka na kufikia 73 mapema hii leo wakati shughuli ya kuwatafuta manusura ikiendelea. Vifo vyote vimeripotiwa kutokea katika eneo la Ishikawa lililoathirika zaidi na tetemeko hilo la ukubwa wa…

‘Rais wa zamani wa Afrika Kusini Thabo Mbeki yuko hai’

Rais wa zamani wa Afrika Kusini Thabo Mbeki ni mzima wa afya, imesema taasisi yake. Imesema hivyo baada ya taarifa kusambaa katika mitandao ya kijamii siku ya Jumatano ikizungumzia afya ya rais huyo wa zamani wa Afrika Kusini na madai…

Rais Mstaafu Kikwete ahudhuria sherehe za wajukuu zake kuhitimu kambi ya jando kijijini Msoga

Mchana wa tarehe 31 Desemba 2023 kijijini Msoga wilaya ya Chalinze mkoani Pwani ukoo wa Kikwete walikuwa na sherehe kubwa  ya jando na unyago. Sherehe hiyo ilihusisha  wavulana 11 na wasichana 7, wakiwemo watoto wa  Ridhiwani Kikwete, Mbunge wa Chalinze…

Israel yaimarisha ulinzi baada ya kuuwawa kiongozi wa Hamas

Jeshi la Israel limesema “lipo tayari kwa hali yoyote inayoweza kujitokeza” baada ya kufanya shambulio katika mji mkuu wa Lebanon Beirut na kumuua naibu kiongozi wa kundi la Hamas.Shambulizi hilo limezusha hofu ya vita vya Gaza kutanuka na kuwa mzozo…

Serikali yasaini mikataba sita ya uwekezaji mahiri wa wanyamapori

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) wametiliana saini ya mikataba sita ya uwekezaji katika Maeneo Maalum ya Uwekezaji wa Wanyamapori (Special Wildife Investment Concession Areas – SWICA) yenye…