JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

GBT yatatua kero ya maji Shule ya Wavulana Kibaha

Na Byarugaba Innocent, JamhuriMedia, Kibaha Bodi ya Michezo ya kubahatisha Tanzania GBT imekabidhi mradi wa Maji wenye thamani ya Shilingi 64,656,520 kwa uongozi wa Shirika la Elimu Kibaha unaolenga kutatua changamoto ya muda mrefu ya upatikanaji wa maji iliyokuwa ikiwakabili…

Biteko : Changamoto ya umeme inakwenda kupungua hatua kwa hatua

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Chalinze Kituo cha Kupoozea Umeme cha Chalinze kimefikia asilimia 84.3 ambapo ifikapo Desemba mitambo itawashwa. Aidha, ujenzi wa njia ya kusafirishia umeme kutoka kituo hicho hadi Bwawa la Mwalimu Nyerere ujenzi wake umefikia asilimia 99. Akiwa…

Serikali kuongeza wodi maalum 100 za uangalizi wa watoto njiti

Na WAF Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya katika kuboresha Huduma za afya nchini imejenga wodi maalum za uangalizi wa watoto njiti 128 na kwa mwaka huu imepanga imepanga kujenga wodi nyingine 100 ili kuhakikisha vifo vya watoto wachanga vinapungua…

NMB yatoa madawati 200, viti, meza za mil. 25/- Kibaha

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIKA kuunga mkono juhudi za Serikali kusimamia upatikanaji wa elimu bora na mazingira rafili ya utoaji huduma hiyo mijini na vijijini, Benki ya NMB imetoa msaada wa madawati, viti na meza kwa shule…

Wananchi watakiwa kulinda miundombinu ya reli

Na Allan Vicent, JamhuriMedia, Tabora Jamii imetakiwa kuwa mstari wa mbele kulinda usalama wa miundombinu ya reli inayoendelea kujengwa na serikali kwa mabilioni ya fedha ili kuepusha uharibifu unaofanywa na watu wasio na nia njema. Wito huo umetolewa jana na…

Serikali kulipa madeni ya wakandarasi

Serikali imeahidi kulipa deni la Sh bilioni 167 la Wakandarasi wazawa pamoja na wa kigeni. Deni hilo limetokana na ujenzi wa miradi mbalimbali katika maeneo tofauti. Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa wakati alipokuwa akizungumza na wakandarasi…