JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

TIC yatangaza fursa za uwekezaji maonyesho ya Tanga

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Tanga KITUO cha Uwekezaji nchini (TIC), kimesema kampeni ya nchi nzima ya kuhamasisha uwekezaji imeamsha ari ya watanzania wengi kuchangamkia fursa za uwekezaji kwenye sekta mbalimbali. Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki na Afisa Uwekezaji wa kituo hicho,…

Majaliwa : Serikali yenu ipo imara

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Swrikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ipo imara na inaemdelea kutekeleza miradi ya kimkakati Amesema utekeleza wa miradi hiyo utawawezesha wananchi kutekeleza majukumu yao kikamilifu na kushiriki katika shughuli…

Geita yatakiwa kuja na mradi wa Kaboni kuokoa mazingira

Mkoa wa Geita umetakiwa kuanzisha mradi wa kaboni ili kujipatia kipato na kukabiliana na kasi ya uharibifu wa mazingira inayotokana na shughuli za ukataji wa miti hovyo. Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhandisi Cyprian Luhemeja…

Tanzania mwenyeji Baraza la 42 la Utawala la PAPU

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tanzania inakuwa mwenyeji wa Mkutano wa 42 wa Baraza la Utawala la Umoja wa Posta Afrika (PAPU) linalotarajiwa kuanza Juni 3 hadi 14, 2024 jijini Arusha yalipo Makao Makuu ya Ofisi za PAPU….

Gavana Bwanku atembelea kujionea uwekezaji mkubwa bilioni 20 wa Rais Samia kwenye bandari ya Kemondo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kagera Washuhudia Wataalamu wakubwa, mitambo mikubwa na wafanyakazi wakiwa site. Bandari ya Kemondo kufungua uchumi mzima wa mkoa. Bandari ya Kemondo iliyopo kwenye Tarafa ya Katerero wilayani Bukoba- Kagera ni moja ya Bandari kubwa 10 Tanzania…