Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wawekezaji na Wamiliki Wakubwa wa Kampuni za Korea wakati wa hafla maalum ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Wamiliki hao jijini Seoul, tarehe 2 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifuatilia na kusikiliza kwa makini mazungumzo na Wawekezaji na Wamiliki Wakubwa wa Kampuni za Korea wakati wa hafla maalum ya chakula cha jionikilichoandaliwa na Wamiliki hao jijini Seoul, tarehe 2 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Ujumbe wake wakati wa mazungumzo na Wawekezaji na Wamiliki Wakubwa wa Kampuni za Korea. Mazungumzo hayo yaliambatana na hafla maalum ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Wamiliki hao jijini Seoul, tarehe 2 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipiga makofi kuashiria kukubaliana na jambo wakati wa kikao maalum cha kazi kilichoambatana na hafla maalum ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Wawekezaji na Wamiliki Wakubwa wa Kampuni za Korea, tarehe 2 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wawekezaji na Wamiliki Wakubwa wa Kampuni za Korea wakati wa hafla maalum ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Wamiliki hao jijini Seoul, tarehe 2 Juni, 2024.