JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Mvua ya upepo mkali yaezua mapaa Njombe,

Wakazi zaidi ya tisa wa Kijiji cha Ngelenge kilichopo katika Kata ya Ruhuhu wilayani Ludewa mkoani Njombe wamekosa makazi baada ya mvua zilizoambatana na upepo zinazoendelea kunyesha mkoani hapa na kubomoa baadhi ya nyumba. Mtendaji wa kata hiyo Yusuph Lukuwi…

ZFDA yalifungia ghala la kuhifadhi chakula

Wakala wa Chakula na Dawa Zanzibar (ZFDA) wamelifungia ghala iliyokua ikihifadhi bidhaa mbalimbali ikiwemo mchele kutokana na ghala hiyo kukosa sifa za kuhifadhia bidhaa hizo. Akizungumza wakati wa ukaguzi wa kushtukiza kuangalia usalama wa chakula,na uhalali wa uwepo wa ghala…

MIAKA MIWILI BILA JPM…
Askofu: Hata wazuri pia hufa

Na Daniel Limbe,JamhuriMedia,Chato Kanisa Katoliki Jimbo la Rulenge, Ngara, limesema kuwa hata watu wema hufariki dunia. Kauli hiyo imetolewa leo na Askofu wa Rulenge Ngara, Severine Niwemugizi, wakati akiongoza ibada ya kumwombea toba aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli,…

Ruzuku kutoka REA mkombozi ukamilishaji mradi wa umeme Lupali

Na Veronica Simba Watawa wa Kanisa Katoliki wa Shirika la Wabenediktini, Imiliwaha Njombe, wametoa shukrani kwa Wakala wa Nishati Vijijini kwa kutoa ruzuku inayotumika kukamilisha utekelezaji wa mradi wa umeme wa maji – Lupali utakaozalisha kilowati 317 pindi ukikamilika. Walitoa…

Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa wa Afrika wa chakula na kilimo

Na Wilson Malima, JAMHURI MEDIA Tanzania itakuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa wa Afrika wa masuala ya chakula na kilimo utakaofanyika Septemba 5 mpaka 8 mwaka huu. Ijumaa wiki hii (Machi 17), Rais Samia Suluhu Hassan atazindua maandalizi ya mkutano huo…

Rais afanya uteuzi wa Makatibu Tawala

Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya baadhi ya viongozi kwa kuwateua Makatibu Tawala wa Mikoa huku Makatibu Tawala wengine wakihamishwa vituo vya kazi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Machi 16,2023 kwa vyombo vya habari na kusainiwa na Mkurugenzi…