Category: Habari Mpya
Kunenge:Pwani haturidhiki na hali ya usafiri kivuko cha Mafia
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Mkuu wa mkoa wa Pwani ,alhaj Abubakari Kunenge,ameeleza mkoa hauridhiki na hali ya usafiri wilayani Mafia, kwani wananchi wa wilaya hiyo bado wanachangamoto kubwa ya kupata kivuko kitakachojibu kero ya usafiri waliyonayo. Aidha wilaya hiyo,inakabiliwa na changamoto…
Wanaokwamisha mabadiliko ya mahakama kuchukuliwa hatua
Magreth Kinabo na Stanslaus Makendi, Dodoma Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania,Mustapher Siyani amesema kwamba uongozi wa Mahakama ya Tanzania utachukua hatua ya kumwajibisha mtumishi yoyote yule ambaye atakuwa ni kikwazo wa mabadiliko yanayofanywa na mhimili huo katika kuelekea…
Kimbunga cha Fredy chaua 14 Madagascar, Msumbiji
Takribani watu 7 nchini Madagascar na 7 nchini Msumbiji wamepoteza maisha baada ya kimbunga Freddy kupiga. Kulingana na ripoti ya hivi punde ya Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA), idadi ya watu walioathiriwa na Kimbunga…
Mawakala wa forodha wahimizwa udhibiti wa kemikali hatarishi
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMeida Serikali imewataka mawakala wa forodha wanaoandaa nyaraka za kuingizia nchini na kupokea mizigo ikiwemo kemikali zinazodhibitiwa kuzingatia ukomo wa matumizi wa kemikali hizo zinazochangia mmong’onyo wa tabaka la ozoni na kusababisha mabadiliko ya tabia nchi. Wito huo…





