JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Tunduru kuwatoza faini wafugaji wanaoishi kiholela

Serikali ya Wilaya Tunduru mkoani Ruvuma imesema,itawakamata na kuwatoza faini wafugaji wote wanaoishi kiholela na kuchunga mifugo nje ya maeneo yaliyotengwa(vitalu). Kauli hiyo imetolewa jana na mkuu wa wilaya hiyo Julius Mtatiro,wakati akizungumza na wafugaji wakati wa ufunguzi wa nyumba…

Serikali yadhamiria kutekeleza mradi wa Liganga,Mchuchuma kwa manufaa ya Taifa

Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt.Ashatu Kijaji ameihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira kuwa Serikali imedhamiria kutekeleza Mradi wa Kimkakati wa Liganga na Mchuchuma kwa manufaa ya Taifa kwa ujumla. Aidha, Dkt.Kijaji amewahakikishia wajumbe…

Sagini: Madereva acheni kuzimaliza roho za Watanzania

Na Hyasinta Kissima,JamhuriMedia Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini, amewatala Makamanda wa mikoa kuwafutia na kuwanyang’anya leseni madereva hatarishi ambao wamekuwa hawafuatia na kuzingatia sheria za usalama barabarani na kusababisha vifo na ulemavu licha ya elimu ya…

EWURA yatoa msaada wa vifaa tiba ya mil.5.2/- Nyamagana

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetoa msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi milioni 5.2 kwa hospitali ya Wilaya ya Nyamagana ili kuboresha huduma za afya za akina mama wanaojifungua katika hospitali hiyo. Msaada…

Tetemeko la ardhi Tanga mtaalamu aeleza haya

Tetemeko la ardhi linalokadiriwa kuwa na ukubwa wa 4.8 katika kiwango cha Richter limeripotiwa kutokea mkoani Tanga. Tetemeko hilo lililotokea takribani kilomita 33 kutoka usawa wa kisiwa cha Pemba jana Februari 08, 2023 lilipiga katika maeneo ya fukwe za Kayumbu…

Majaliwa:Serikali iko makini na inafuatilia miradi yote

…………………………………………………….. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan iko makini na itaendelea kufuatilia miradi yote inayotekelezwa katika maeneo mbalimbali nchini ili kudhibiti matumizi mabaya ya mali ya umma. Pia Majaliwa…